Harmonize - Ushamba

360,828 Views
Victorious Squad
0
Published on 26/11/20 / In Film & Animation

his Song Based on People Who Likes To Brag Too much In Everything They Do Or They Get Harmonize Came Up Went hard on This Song To All People Who Brags Too much That Its Not A Funny to Brag In Things Are Not Even Sensetive br brHarmonize - Ushamba brStreamDownload [a]https3A2F2FHarmonizestreamlinkto2FUshamba[a] br br brSubscribe for more official content from Harmonize [a]https3A2F2Fwwwyoutubecom2Fc2FHarmonize2552F[a] br br brFollow Harmonize brInstagram [a]https3A2F2Fwwwinstagramcom2Fharmonize_tz2F[a] brTwitter [a]https3A2F2Ftwittercom2Fharmonize_tz[a] brFacebook [a]https3A2F2Fwebfacebookcom2FHarmonize255[a] brTikTok [a]https3A2F2Fvmtiktokcom2FJYFv7PN2F[a] br br brListen to Harmonize brYouTube [a]https3A2F2Fwwwyoutubecom2Fc2FHarmonize2552F[a] brAudiomack [a]https3A2F2Faudiomackcom2Fharmonize[a] brApple Music [a]https3A2F2Fmusicapplecom2Ftz2Fartist2Fhar[a] brSpotify [a]https3A2F2Fopenspotifycom2Fartist2F1eCae[a] br brThe official YouTube channel of Harmonize Subscribe for the latest music videos performances and more br br brFor Bookings amp More brEmail Harmonizemanagementgmailcom brCall 255 752 222 442 255 658 135 762 br brLyrics br brKondeboy brWeeeeeeeee br brChorus brHuo ni ushambaa huo ni wee huo ni ushambaa huo ni wee brHuo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa br brVerse brpesa ya kulipa gesti unayo eeeh nyumbani familia inapiga miyayo eeeh brmmh yanafurahisha ufanyayo eeeh huo ni ushamba brinaboa kudadadeki dereva wa uber hataki kuova teki eti kisa pesa haiongezeki eeeh huo ni ushamba yupo kitandani kajilegeza eeh mi nimeshapaka vya kuteleza eeh eti bebi leo simba wanacheza eeeh huo ni ushamba husband material kutwa unalike picha za makalio vya wenzako usijipe matamanio eeh huo ni ushamba Ashura wa mbagala huna pakula pakulala komenti ndefu picha za kajala huo tunaita eeeh huo ni ushamba br brChorus brHuo ni ushambaa huoni huo ni ushambaa huo ni brHuo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa br brVerse brmmmh malejendi si wamerudisha vita wanahofia eti jeshi anawapita bila sababu wananikunjia ndita breeh huo ni ushamba limechoka acha nilikalagaze halina meno ilo simba zeee likila demu lazima litangaze huo tunaita eeeh huo ni ushamba hivi dunia ndo ipo kikomo eeh maana hadi waganga wanapiga promo hadi insta eeh wana page za kujipigia domo eeeh huo ni ushamba amepanga chumba huko vingunguti yupo mbezi kwa demu pesa hatafuti mmh vipi akikupiga kibuti eeeh huo ni ushamba aaah konda wa daladala umenipitisha bahati mbaya nililala unataka nilipe tena ni busara eeeh huo ni ushamba br brChorus brHuo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa huo ni brHuo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa br brVerse brkaja na vumbi uso umefubaa anadai kapaka poda eeh kaniomba nauli ya uber breeeh huo ni ushamba yule namuona kapanda boda vitu vingine haviji na ubongo eeh punguzeni sifa wana sio mchongo eeh demu humjui unampakia mkongoo eeeh huoni ushambaa yeye ndo kalewa kuliko wote anaimba nakucheza ngoma zote wakati wakulipa bili sina chochote eeh huo ni ushambaa brmeno yote nje anachekelea ahsante bebi nimepokea hasa mbona haujatuma na yakutoleaa eeeh huo ni ushambaa kumepambazuka alfajiri tupo club wana anasema subiri yani kisa yeye ndo mwenye usafiri aah eeeh huoni ushambaa brtunaishi kwa nyumba ya kupanga mwenzetu unatuletea muganga unataka wote tuonekane wangaa huo tunaita eeeh huo ni ushambaa br brChorus brHuo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa huo ni brHuo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa br brhehehehee hasa kama kama tumekutana mchana unasema haujala brheheheee asubuhi si ungeniomba mswaki wewee hehehe hahaha hahahahah br brHuo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa huoni brHuo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa br brthey call me kondeboy no 1 jeshiiiiiii

Show more
0 Comments sort Sort By